sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi ni sehemu sahihi pa kuyapata mafuta ya black seed (BLACK SEED OIL).?

    Karibuni wakuu
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Vinywaji: Fursa Kubwa Kama Utaanza Kwa Njia Sahihi

    Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda, maji na vinywaji vingine vinaweza kuwa na soko kubwa kwenye maeneo ya makazi, karibu na migahawa, baa...
  7. JamiiForums Tanzania Unajua matibabu sahihi ya bawasiri??

    NA PANDEX HERBAL 🌎 KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI). ⤵️ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii hufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japokuwa Dalili za awali husemekana kufanana na Za BAWASIRI...
  8. JamiiForums Tanzania Chagua Jibu lililo Sahihi kati ya A,B na C.

    Bwana Juma ni Mkulima Bora wa Zao la........ A. Mparachichi. B. Parachichi. C. Miparachichi. D.Maparachichi.
  9. JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi chakudai Tanganyika kwa nguvu zote

    Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
  10. JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  11. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Lucy Mayenga ni ushahidi wa nafasi za Ubunge kwa namna isiyo sahihi

    Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana. Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi wateja kuuziwa vifungashio baada ya kununua bidhaa tena za pesa kubwa tu?

    Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje? Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
  15. JamiiForums Tanzania App za mikopo kama YakoMkopo, PesaSasa kupotea Play Store – hii ni hatua sahihi?

    Wakuu, Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.” Swali ni: Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe Kutekwa na Genge la Wazanzibari, Wamarekani Walikuwa Sahihi Kuogopa Zanzibar Ikiachwa Itakuwa Nyumba Ya Magaidi

    Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ninawapa tahadhari wachama wa MCC ,ni wakati wa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi,muda si wenu tena umepinduka na game is over

    MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa watu walionipa msaada katika wakati sahihi, nawapenda sana

    Kuna watu thamani katika maisha yetu hapa duniani wapo na wanaweza wakawa ni wa muhimu katika negative way au positive way. Ukiachana na ndugu wa faida na wazazi bado kuna watu baki wanaweza kuibika katika nyakati flani ambazo uliwahitaji kwa udi na uvumba. Binafsi mimi kuna hawa watu wawili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania KWELI Inashauriwa kumtahiri mtoto kati ya siku za mwanzoni hadi wiki ya 8 baada ya kuzaliwa

    Wakuu Nimeona hii mtu akiuliza huko nikawa curious pia kujua hili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…