sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama itakayotumika ni Muislamu. Lakini itakuwaje ikiwa wewe si Muislamu na ukatembelewa ghafla na rafiki...
  2. JamiiForums Tanzania Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
  3. JamiiForums Tanzania Hili nimeliona sana tu kwa Walinzi wa Majumbani sehemu mbalimbali je, ni sahihi Kiulinzi au wanahitaji Msasa zaidi?

    Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  5. JamiiForums Tanzania Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

    Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi Jambo la kwanza. Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi hawa kujiita wachambuzi wa Muziki?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu hasa wale wapenzi wa zamani wa muziki wa dansi kujiita wachambuzi wa muziki hadi kufikia kuwashawishi wamiliki au viongozi wa Redio hasa zile za binafsi kuwaajiri wakiamini watakuwa kivutio na ushawishi kwa wasikilizaji. Lakini kiuhalisia hawa watu hawana ujuzi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa kupata viongozi ni sahihi?

    Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  11. JamiiForums Tanzania Matumizi na uhifadhi sahihi wa silaha kwa wamiliki Tanzania

    Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia. Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Wakuu kwema? Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema. Lipi ni neno sahihi? Ahsanteni!
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati. Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  16. JamiiForums Tanzania Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
  17. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae? Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuhemea, Kujumua na Kuingiliwa ni misamiati sahihi ya Kiswahili?

    Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili? " Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya. "Kuingiliwa" kwa maana ya kupunjwa pesa unayostahili au kulipa pesa zaidi ya unavyostahili. Huu msamiati...
  20. H

    JamiiForums Tanzania KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…