Ngao ni mfumo wa ulinzi na usalama, mfumo huu umeanzishwa na issa rajabu tofiki/mlinzi shujaa , katika nchi ya tanzania, mwaka ( 2019 ) kwa lengo la kuwapatia raia wa tanzania uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi na...