safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

    Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana. Almost itakuwa before January. Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si...
  2. JamiiForums Tanzania Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

    Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi. Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
  4. JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho ya Abdallah Kassim Hanga Kabla ya Safari ya Mwisho

    PICHA YA ABDALLAH KASSIM HANGA AKIBARIZI MSASANI BEACH KWENYE NYUMBA YA OSCAR KAMBONA Hakuna kitabu kilichoeleza historia ya Hanga na Oscar Kambona kwa siku chache Hanga lipokuwa anakaa nyumbani kwa Kambona London kama kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ‘’Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.’’ Hanga...
  5. JamiiForums Tanzania Achana na Chrome, Mozilla na safari kamata Brave

    Watu wengi mnatumia kivinjari Cha 𝗖𝗵𝗿𝗼𝗺𝗲, 𝗠𝗼𝘇𝗶𝗹𝗹𝗮, 𝗦𝗮𝗳𝗮𝗿𝗶 kufanya mambo mengi Kwenye simu au kompyuta zetu ila achana nazo kuanzia Sasa !!!! 🤔 Ni wakati wa kuzipiga chini sasa 😀 Yani bila pingamizi yoyote Kuna kivinjari kizuri sana watu wengi hawakijui Kiko poa sana ni mbadala wa chrome nk...
  6. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  8. JamiiForums Tanzania Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini. Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, tuna safari ndefu

    Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza. Baada ya ajali ya ndege siku tatu kulikuwa na povu povu kuhusu uwajibikaji, Leo matokeo ya Yanga yameshabadili upepo na stori...
  10. JamiiForums Tanzania Hata tupoteze watu elfu, wale jamaa huwa hawakatizi safari.

    Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi. Shida huwa hakuna uwajibishaji. Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara? Tuna...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Nahitaji kufahamu kwa mtu anayejua bei za safari ya kwenda kisiwa cha Reunion kwa kutumia boti. Natamani nipitie Comoro, Madagascar mpaka Reunion Msaada wenu juu ya safari hiyo kuhusu bei za nauli mpaka nifike huko, ndege sitaki kutumia.
  13. JamiiForums Tanzania Kongole Precision air kwa kuongeza idadi ya safari kati ya Dar es salaam kwenda Hahaya- Anjouan

    Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi iendelee na safari iendelee, tutafika tu. Ni wapi na kwa namna gani, tutakomaa tu!

    Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado hajakomaa vizuri... C: Atakomaa huko huko! Nakiri sikushangaa hata kidogo. Huwezi ukapanda mchicha...
  15. JamiiForums Tanzania Safari za Kikwete hugharamiwa na nani?!

    Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
  16. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania wa kawaida, naomba kujua umuhimu wa hizi safari

    Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

    Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita. Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ameanza safari yake ya kwanza nje ya Kenya, atakutana na Mfalme Charles III na Rais Biden

    Akiwa huko, Rais atakaribishwa kwa chakula cha jioni na Mfalme Charles III na pia atahudhuria Ibada ya Viongozi wa dunia leo jioni Jumatatu, Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi wa dunia watakaohudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II. Ruto ni kati ya viongozi 500, ikiwa ni pamoja na Rais Joe...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  20. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyefariki kwenye ajali Mbeya alionywa asiendelee na safari akadai ana haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Askari waliokuwepo eneo la Inyala Mbeya waliwashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Fatma Omary na Dereva wake kutoondoa gari leo eneo hilo kusubiria Malori yapite ili magari madogo yaruhusiwe kama utaratibu unavyotaka lakini wawili hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…