Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)
Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)
(Tilititititi...