sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao. Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao...
  2. Kibosho1

    Mnaomtetea Ole Sabaya mnapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU

    Huyu jamaa nani alikuwa anamlinda? Kwanini kila mtu anamlalamikia? Anastahili adhabu gani huyu jambazi? Yeye na kiongozi wake aliempa dhamana pamoja na Magaidi wote wanastahili kulipwa walichopanda hapa duniani
  3. Mmawia

    Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

    Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema. Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
  4. Kipenzi Changu

    Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

    Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu. Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
  5. Kipenzi Changu

    Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  6. Naipendatz

    Sabaya under probe for seven other claims

    Former Hai District Commissioner Lengai Ole Sabaya will on Friday appear in court for the second time to answer to six charges facing him. However, the Tanzania Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Kilimanjaro Region says it is investigating seven other accusations facing...
  7. T

    Vijana tunapopewa nafasi tuzitumie kutengeneza fursa nyingi kwa wengi zaidi. Hili la Sabaya ni kosa, tusahihishe

    Wasalaam, Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu na pengine siku moja vijana ndio washike hatamu ya uongozi wa Taifa hili. Kinachoendelea sasa...
  8. A

    Uthubutu ulivyowanyanyua Bashite na Sabaya

    Uthubutu ni jambo zuri sana haswa likifanywa kiuhalali. 1. Daudi Albert Bashite alithubutu kujifanya yeye ni Paul Christian Makonda which is a crime. Lakini mwendazake alimpandisha na kumzawadia ukuu wa mkoa DSM. 2. Lengai Ole Sabaya alithubutu kufoji na kutengeneza kitambilisho feki kuwa yeye...
  9. lee Vladimir cleef

    Kauli hii Moja tu ya Sabaya inatosha kabisa kumkamatisha Makonda na kuhojiwa na kisha kupelekwa Mahakamani

    Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu. Hii kauli ikitokea kwa...
  10. N

    Sabaya alitia chumvi kwenye Engine gari la Mbowe

    Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage hapo Arusha (naihifadhi jina kwa sasa). Mbowe akaenda zake Dodoma. Kumbe Sabaya alikua Arusha kwa...
  11. Kipenzi Changu

    Je, Ole Sabaya alipewa kibali na Magufuli kuhujumu uchumi?

    Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha. Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
  12. Kipenzi Changu

    Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa. Awali katika hotuba ya ufunguzi ilielezwa kwamba aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Lengai Ole Sabaya...
  13. Siasa Basi

    Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
  14. Chagu wa Malunde

    Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  15. Petro E. Mselewa

    Tafakuri yangu kwa Mashtaka ya Ole Sabaya

    Sasa ni dhahiri kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshtakiwa kwa makosa ya jinai. Amefikishwa Mahakamani huko Arusha na kusomewa mashtaka sita. Ninaandika hapa nikiamini kuwa mashtaka ya Ole Sabaya bado ni tuhuma tu hadi pale yatakapothibitishwa...
  16. K

    Viongozi hawa wahojiwe na kuwajibishwa kama Sabaya kama hakuna upendeleo

    Kama tupo serious kwamba tumeanza kuamini hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Taifa ni muhimu kuliko matamanio binafsi ya viongozi wa chama tawala Basi wafuatao wahojiwe; 1. Paul Makonda - Tukio la wazi linaloashiria jinai ni kuingia Clouds akiwa na silaha za kivita ambazo hakuna sheria...
  17. Idugunde

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  18. Anonymous

    Wanaodaiwa kuteswa na Sabaya watema nyongo

    Baadhi ya watu wanaoishi Kilimanjaro na Arusha wanaodai kufanyiwa vitendo vya ukatili na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wamesimulia magumu waliyopitia kwa kiongozi huyo. Sabaya ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili...
  19. J

    Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

    Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu. Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na...
  20. kavulata

    Sabaya ni ushahidi wa Taifa lilikokuwa linaelekea

    Tuhuma zinazomkabili aliyekuwa DC wa Hai kama zitathibitishwa mbele ya sheria itakuwa ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya wapi taifa hili lilikuwa liekezwe siku za usoni. Sabaya aliyatenda haya yote bila kuwa na hofu ya kuchukuliwa hatua, alikuwa anapongezwa na kuonekana shujaa na hodari katika...
Back
Top Bottom