Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio?
Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka...