sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shaka: "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu hilo haliwezi kutokea"

    Ukisoma uzi wangu wa mwisho kabla ya huu utaona nilisema maneno gani. Niliposti uzi wangu kabla ya kuona Press ya Shaka. Pengine nina kijiubanii nianze kujichunguza. Kazi mnayo UFIPA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  3. JamiiForums Tanzania Kum-bana (kumchunga) sana mkeo sio sababu ya yeye kutokukusaliti

    Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa inatokea unakutana na mwanamke na haukutegea kuwa atakuwa mke wa tu. ila baada ya kumjulisha hitaji lako...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vyema mkiwa mnatoa 'Press Releases' kama hii pia mtuambie wenye Akili sababu ni nini au kumetokea nini sawa?

    Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Chanzo: Simba Sports Club Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa Simba SC kuna matatizo huwa hamtuelewi ila nashukuru Mungu taratibu tu yale...
  5. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  6. JamiiForums Tanzania SABABU ZA KUHIFADHI ENEO LA KILOMITA 1500

    Eneo la kilomita 1500 ni muhimu sana kwa ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Eneo hilo ni mazalia ya wanyamapori, vyanzo vya maji kwa ajili ya ikolojia ya Serengeti, Mapitio ya wanyamapori wahamao kutoka Serengeti na Ngorongoro kwenda na kutoka Masai Mara-...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

    Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli. Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma. Sometime naweza msemesha...
  9. JamiiForums Tanzania Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

    Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi! Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  11. JamiiForums Tanzania COVID-19: Pfizer wasema " tulihamia kwa binadamu na kuacha kufanyia majaribia ya chanjo kwa wanyama kwa sababu waliendelea kufa."

    Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo. Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

    Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Masauni: Hakuna sababu viongozi wa CHADEMA kutorejea nchini. Asema Tanzania ni salama

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje ya nchi kutorudi Nchini ili waje kutumia fursa zilizopo za maendeleo pia kushiriki kutoa mchango wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

    Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni! Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kupenda wanawake wenye makalio makubwa

    Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa. Wanawake wenye matako makubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Sinza kuwa na mashoga wengi

    Sinza kuna mashoga wengi kwa sababu aina ya maisha ya kule yapo juu sana. Kumbi za starehe zipo kila mtaa na zinapiga siku zote j Jumatatu mpaka Jumatatu yani hamna kupoa Vijana wanatafuta kila namna wavimbe kila siku ndo utakuta wengine wanakuwa matapeli wengine wanakuwa machawa wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…