sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

    Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu ni nini kufa kwa matamasha makubwa ya Wasanii kama Fiesta?

    Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau? Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio ni bure, wakati miaka kumi iliyopita matamasha mengi miezi hii yalikuwa na viingilio tena vikubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mvua zisiponyesha miezi 2 au 3 ijayo bado viongozi wataendelea kutupa sababu zilezile? Ikiwa uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipoishia basi we are doomed

    Huku mtaani kwetu tunaingia wiki ya 4 sasa tangu maji yakate, kipindi wanatangaza mgao tayari ulishaanza kimya kimya sehemu kibao za jiji la Dar. Nimekaa nawaza hapa, ina maana hawa viongozi wetu wamekaa wamerelax kabisa kwamba hawana la kufanya? Hivi hawaoni kwamba this is an emergency state...
  6. JamiiForums Tanzania Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

    Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Uchunguzi wa kitaalamu utafanyika hivyo majibu sahihi zaidi yatatolewa lakini hilo halituzuii kutumia fikra zetu kutafakari kilichotokea. 1. Ukungu ulipelekea rubani kushindwa kuiona runway na hivyo akaishusha ndege chini mno wakati anajaribu kutaka kuuona uwanja. Alitaka atue moja kwa moja...
  8. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu pakiti ya sigara = sigara 20 bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200 box moja...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    .........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300. Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa. Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

    Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili. Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ili afukuzwe kazi kwa sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusa

    MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi. Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria) Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona sababu za msingi kwanini Serikali haitaki kutoa takwimu za idadi ya wafuasi wa dini

    Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi...
  15. JamiiForums Tanzania Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Kutokunywa maziwa kunafanya wakulima kuwa wafupi

    Fuatilia jamii za wakulima na wafugaji. Utaona wakulima ni wafupi sana. Watu warefu kabisa Afrika wote ni wafugaji. Wadinka na wasudan kusini wengine, Wamasai, Watutsi, wahausa n.k, na hata kwa kawaida wabantu si warefu (sababu ya lishe duni), lakini Wukuma na Wakurya ni warefu sababu ya kupiga...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

    Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa. . Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023. . Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc. . Karibuni Wakuu. ======= 01' Mtanange umeanza Benjamin...
  18. JamiiForums Tanzania Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  19. JamiiForums Tanzania Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  20. JamiiForums Tanzania Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…