sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tupac na Biggie hawakuuawa kwa sababu walichukiana. Walitolewa mhanga kwa sababu 'Mfu' hahitaji mshahara, halipwi mirahaba, na hadai hesabu za fedha.

    Nadharia ya Kijasusi: Nyuma ya Vifo vya Tupac na Biggie; Je, Kulikuwa na ‘Wall Street’, Polisi Mafisadi na Biashara ya Bima ya Maisha? Wakuu, salamu. Kwa miongo mitatu, ulimwengu unalishwa hadithi ya uongo—kwamba marapa hawa walikufa kwa sababu ya bifu la mitaani la East Coast na West Coast...
  2. JamiiForums Tanzania Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wagombea walikuwa wengi kwa sababu walitengenezwa kuondoa ushindani

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi kufikia mwaka 2025. Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala kuhsu Demokrasia na Katiba Mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Tusiibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro, lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tumeizoea

    Wasalaam, kuna msemo mmoja ambao naamini una nafasi kubwa sana katika mjadala wa siasa za Tanzania. “Tusibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro. Lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tu tumeizoea.” Tanzania ni kama nyumba ambayo imejengwa kwa miaka mingi. Ina historia yake, imepitia vipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kutengeneza taharuki. Kama Nchimbi ana shida familia yake ingesema

    Wana JF natumai hamjambo kabisa Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma. Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi

    Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii. Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

    Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana uchungu kwa sababu ya kuachwa na mke/mume, au kusalitiwa, kukataliwa au kufiwa na mtu anayempenda...
  8. JamiiForums Tanzania ZIJUE SABABU ZA KUWA NA RATIBA YA VIPODOZI VYOTE VYA ASILI

    Baadhi ya viambato hai vya skincare (active ingredients) hufanya kazi pamoja kusaidia kuongeza unyevunyevu, kuondoa seli zilizokufa za ngozi, na kurekebisha kinga ya ngozi (skin barrier). Kuchagua viambato sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi ngozi inavyokuwa laini na yenye...
  9. JamiiForums Tanzania Haujafa leo kwa sababu haujafa leo, hakuna cha sijui haukuchaguliwa, mara siku yako haijafika ama haikuwa kwenye mipango

    AFYA DHAIFU UZEE AJALI KUULIWA KUJIUA AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita. Hakuna aliepangiwa siku ya kufa, hakuna cha umependwa sana ndio maana umeenda, hakuna cha kuwa umelaaniwa sasa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Samia akubali "kuna uhaba wa fedha" sababu kubwa ni ubinafsi wake

    https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4 Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa. Sasa analaumu wengine kwa ubinafsi wake wa utekaji, wizi wa kura, undungu, uzanzibari, ufisadi, unyanyasaji wa vyama...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, atangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania

    Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  14. JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli. Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli. Nazungumza na wanawake watibeli. Na wote wenye ufahamu. Najua duniani inatabaka mbili. Watumwa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kujiuzuru ni 2 tu hakuna ya 3.

    1. "Nimeamua kujiuzuru Kwa sababu nilikuwa mkaidi dhidi ya bosi wangu, ikapelekea kunipiga pini kila upande (kisaikolojia), hatimaye nikashindwa kupumua" 2. "Nimejiuzulu ila mimi na bosi wangu ni kitu kimoja Kwa lengo la kuivuta 2030 (Kwa sababu za ndani / nje) Angalizo 1. Usipende...
  16. JamiiForums Tanzania Siri ya Kuanguka kwa Sayansi ya Misri ya Kale: Je, Ni Sababu za Kidini, Kisiasa, au Wazungu Walituibia Historia Yetu?

    Wakuu salamu, Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna. Maana yake alikula majani mapema lakini hakuyameza moja lwa moja akayahifadhi katika tumbo la akiba kisha BADAE ANARUDISHA MDOMONI ANATAFUNA...
  19. JamiiForums Tanzania Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali". Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

    Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…