sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna majina duniani ni kama yamepigwa marufuku sababu yametumika vibaya

    kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa. 1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler. 2...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

    Salaam jamiiforum. Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya tukakumbushana. 1.Acha tamaa ya kuweka pesa ili upate pesa. Ni dhahiri shahiri vijana wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Kiepe kina Kila sababu ya kuwa chakula pendwa

    Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali. Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

    Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  6. M

    JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

    Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi. Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!". Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  10. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  13. JamiiForums Tanzania Zifahamu Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu Kristo aliivunja Sabato? Sababu hizi hapa

    Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato. Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  17. JamiiForums Tanzania NHIF wananyima watu haki za msingi kwa sababu zisizo na mashiko

    Naomba niaze na maswali chokozi haya yafuatayo kabla ya kwenda kwenye hoja yangu; 1. Hivi mtu anaweza akafoji mzazi, mtoto, mwenza, mkwe nk 2. Ikiwa ni kweli mtu anaweza akafoji hao watu, je kwenye mfuko wa bima ya afya kunakuwa na hasara gani? 3. Hivi mtu anaweza kusajiliwa mara mbili kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  19. JamiiForums Tanzania Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

    Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

    Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…