sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  6. JamiiForums Tanzania Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

    "Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi. Hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  10. JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuadimika kwa Petroli mkoani Kilimnjaro?

    Lao jioni nimepita kwenye vituo vinne vya mafuta Ili kuongeza petroli kwenye gari langu bila mafanikio! Kila kituo nilichopita wamedai hakuna mafuta. Je inawezekana kuna uhaba wa mafuta ya magari nchini au ni ujanja ujanja wa wenye vituo kuficha mafuta wakisubiri bei kupanda?
  12. JamiiForums Tanzania Sababu 6 zinazopelekea kuwa na fikra (Mtwazom)mgando

    Kama kuna mambo yana ludiaha nyuma maendeleo ya vijana wengi kwa sasa ni pamoja na umasikini wa kuwa na fikra tanduzi. Na hapa kuna sababu sita zinazo sababisha vijana kujikuta katika hili janga la kuwa na fikra mgando katika jami unaweza kuyaepuka kwa kuzijua sababubu zake. Mjadala huru
  13. JamiiForums Tanzania Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

    Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi. Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga...
  15. S

    JamiiForums Tanzania DC Makame: Vijana tambueni sababu ya uwepo wenu duniani

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na kujiendeleza kwa bidii katika maisha. Akizungumza katika Kongamano la Uwezeshaji Vijana...
  16. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
  18. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo ya kutaka Stellenbosch wafungwe na Simba ni hizi dharau za wasouth

    Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika. Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Hakuna Sababu ya Kuteka Watu

    Askofu Gwajima, mbunge wa CCM, na kiongozi wa Kanisa la Uzima na ufufuo amesema kuwa nchi haina haki, maisha ya mwanadamu hayathaminiwa. Akasema hakuna sababu ya kuteka watu. Akauliza ni kwa nini maisha ya mtanzania hayathaminiwi? Ameendelea kusema kuwa mitungi yote ya gas tunayoiona, hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…