MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Manispaa ya Ubungo, wametoa siku saba kwa wananchi wanaotiririsha majitaka katika mabwawa ya Mabibo kujisalimisha.
Mamlaka hizo zimesema, wahusika wote, wajisalimishe Manispaa au DAWASA na wale watakaokaidi agizo hilo ndani ya...