Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha?
Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme.
Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli...