saa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

    Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za...
  3. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  5. JamiiForums Tanzania Unafahamu chakula unachokula kinaweza kukaa katika Mfumo wa Mwili wako kwa saa 12 hadi miaka 2?

    In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten. The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  7. JamiiForums Tanzania Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa ushangiliaji huu, kama ingekuwa Viwanja vyetu huku, hiyo simu saa hizi ingekuwa wapi?

    Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  10. JamiiForums Tanzania Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

    Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  15. JamiiForums Tanzania Tulitangaziwa Ndege itawasili Asubuhi Saa 4, ila imewasili / inawasili Mchana huu

    Rais angekuwepo bado Kipenzi cha Wengi na changu hasa GENTAMYCINE Hayati John Pombe Magufuli ( JPM ) Ndege hii ingewasili muda ule ule wa Asubuhi kama tulivyotangaziwa. Ukiona unapuuzwa huku ukiwa wa Muhimu katika Ardhi fulani jua hufai na hata katika Vita hutakiwi Kuaminika kwakuwa huna...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza. Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  20. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kulala chini ya Saa 6 kunaweza kuongeza hatari ya kupata Saratani na Kifo

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla. Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…