saa

  1. JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho. Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kunguru wanaruka usiku huu saa 9:15, ni kawaida?

    Muda huu usiku wa saa tisa nasikia huko nje kunguru wanalia na wamepita kama wanaelekea sehemu. Je kuna disaster yeyote au hali hii inaashiria nini?
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU leo tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku

    TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne. Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Mechi ya saa kumi na moja kawaida yanga anakufa na hili ndilo linakwenda kutokea!

    Mnakumbuka yanga walipokimbia mechi ya saa kumi na moja basi aliendesha tuisila kisinda basi lilikua bovu lakini speed yake ilikuwa ni ya kimondo, Wazee wa yanga wanajua mananzili muda saa kumi na moja kinyota si muda wao. Kiutaalamu majini yao yanakuwa yamelala yakilala hayataki usumbufu hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Undisputed Boxing Fight: Beterbiev vs Bivol, Jumapili 13.10.2024, Saa 01:15 Usiku

    Manguli wa ndondi kutoka Urusi, Artur Beterbiev na Dmitry Bivol watakutana usiku wa leo (Saa 01:15, Jumapili) katika pambano lisilopingika (Undisputed) la Uzani Mwepesi (Light Heavyweight) mjini Riyadh, Saudi Arabia siku ya Jumapili. Ikumbukwe kila mmoja hajawahi kupoteza pambano hata moja...
  7. JamiiForums Tanzania Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

    Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  11. JamiiForums Tanzania Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

    BREAKING: 🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv. Lengo lilionekana kuwa kituo cha nguvu cha 'Gezer', kilomita 6 kutoka uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

    Kwema wajumbe? Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home. Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni. Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi...
  13. JamiiForums Tanzania Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  14. JamiiForums Tanzania Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

    Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi . Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Technology inavyofichua Siri za vikao vya ndani vya serikali na vyama vya siasa; ogopa miwani, kalamu na saa

    Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria. Lakini katika vikao vyote kwa sasa binadamu wamebadilika sana. Wapo wanaoamini katika haki na wapo wanaoogopa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12 Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote Tutakujuza Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024 Nasrallah expected to give speech at 6 p.m. Today, 10:25 am 3...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  19. JamiiForums Tanzania Ufunguzi Ligi Kuu Bara 2024/25: Pamba Jiji vs Prisons, Agosti 16, 2024, Saa 10:00 Jioni

    Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
  20. JamiiForums Tanzania Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

    Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…