saa

  1. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Vitisho Vya Donald Trump Vya Saa 48

    https://youtu.be/FoGNAGeY-uM?si=pdhjydsSkPd8r8fq
  2. mzeemkavu

    Nauza saa yangu ya Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch

    Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch Price 600,000 0758190229
  3. A

    KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  4. Think2

    Radi ya leo saa nane usiku

    Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama 😂 Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
  5. C

    Jinsi nilivyokaa siku 100 bila kuangalia saa

    Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
  6. VERBOSE

    Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
  7. Royal Son

    Nauza saa unazozipenda na imara sana

    Chagua rangi unayoipenda – Gold Black au Silver Muonekano wa kisasa, unafaa kwa ofisini, sherehe na matumizi ya kila siku Quartz movement – zinatunza muda sahihi Zina kalenda (Date) Ubora wa hali ya juu Zinakaa vizuri mkononi Bei: 25,000/= tu Arusha Town 0712350159
  8. Mindyou

    Trump: Watu wa Iran saa ya ukombozi imewadia. Kwa miaka mingi mmeiomba Marekani msaada lakini hamkuupata, Tutakapomaliza kazi yetu chukueni nchi yenu

    Wakuu, Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran "Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
  9. Troll JF

    Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  10. Chizi Maarifa

    Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  11. A

    KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  12. Pdidy

    Sali hizi Zaburi kila saa tisa na dk tano kila siku mojammoja siku 5 utamwona Mungu aliehai akikipignia sema. Mahitaji yako tisa usiku

    hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina 2. ombea anga kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako ombea anga la wanao na la sehemu...
  13. Gru

    Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  14. Mad Max

    KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

    Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
  15. Royal Son

    Unatafuta saa nzuri, imara na ya kisasa?

    ⌚ CASIO ORIGINAL – CLASS & UBORA WA KWELI ⌚ Unatafuta saa nzuri, imara na ya kisasa? 👉 Casio Original ndio chaguo sahihi kwako. ✅ Muonekano wa kisasa (Classic & Modern) ✅ Ubora wa kudumu ✅ Inafaa kazini, sherehe na matumizi ya kila siku 💰 Bei: 25,000/= tu 🚚 Delivery ndani ya Jiji la Arusha ipo 📦...
  16. Bawabu wa pili

    Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  17. and 998 others

    Hotuba ya kuuaga mwaka 2025 itarushwa live saa ngapi?

    Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani? Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba? 1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi...
  18. Just Pray

    Treni ya SGR yakwama Ngerengere kwa saa mbili

    Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi...
  19. BigTall

    Mtindo wa kukamata na kuweka kizuizini zaidi ya Saa 24: Je, Ni adhabu ya muda iliyobuniwa?

    Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
  20. Roving Journalist

    PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
Back
Top Bottom