ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
  2. GE2020 Mgombea Urais kupitia UPDP, Twalib Kadege aahidi kutoa Ruzuku kwa Vyama vyote vitakavyoshiriki Uchaguzi hata kama havina Wabunge

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku kipindi cha Kampeni ili waweze kuendesha shughuli za Kampeni, pasipo kujali kama Vyama hivyo vitakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…