ruwasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Aliyekuwa Meneja RUWASA Kakonko na Mwenzie Wafikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Rushwa Na Uhujumu Uchumi.

    Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM). Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
  2. Kurunzi

    Hali Tete Kucheleweshwa au kutokulipwa kwa wakandarasi TANROADS na RUWASA limekuwa tatizo linaloadhiri Wakandarasi na Uchumi wa nchi

    Hali ni tete na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa sekta ya ujenzi na huduma za kijamii zinazotegemea wakandarasi. Bila hivyo, miradi mingi itakwama na uchumi wa ndani kuumia zaidi. Wakandarasi wengi wanadai malipo kwa kazi walizokamilisha miezi au hata miaka iliyopita. Hii inasababisha...
  3. R

    PreGE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso akagua Ujenzi wa Ofisi za RUWASA na kugawa Magari 19 kwa Ofisi za Makao Makuu na Wilaya

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) na kukabidhi magari 19 kwa ajili ya ofisi za makao makuu na wilaya mbalimbali nchini. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Waziri Aweso alisema RUWASA...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 RUWASA yatatua changamoto ya maji Kwala, yakamilisha mradi uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4

    Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Kamati ya Hesabu za Serikali imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA na kutaka ukamilishwe kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida tarehe 15 Machi, 2025. Mradi huo hadi kukamilika kwake unatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 13 na unatarajiwa kunufaisha vijiji 11...
  7. Just Pray

    RUWASA kusambaza mita za maji za pre-paid baada ya majaribio ya mita hizo mkoani Mnyara

    Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo zimeanza kuonesha mafanikio makubwa. Akiongea wakati wa ziara ya ukaguzi wa majaribio ya mita hizo...
  8. Just Pray

    RUWASA Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo

    WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya Uchaguzi Tunduru Kusini na Kaskazini imepata mradi wa visima 10 vitakavyogharimu zaidi ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    Masache Kasaka: Tunataka Tuone Mpango wa Maendeleo ya Taifa Unaboresha Maisha ya Watanzania

    MASACHE KASAKA: TUNATAKA TUONE MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA UNABORESHA MAISHA YA WATANZANIA "Mipango ya Serikali imekuwa ikipangwa kila mwaka, kuna ya miaka 25 na kuna ya miaka 5. Ni Mipango mizuri na utekelezaji wake tumeuona, Watanzania wote ni mashuhuda namna ambavyo miradi mingi ya...
  10. BigTall

    KERO Responded Wakazi wa Nyarero- Tarime hatuna maji mwezi wa pili sasa, RUWASA wametelekeza Ofisi,

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime tuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa. Wanaohusika wangeweza kusingizia kuwa hakuna umeme, lakini umeme upo, mabomba yapo na miundombinu yote ipo lakini maju hakuna na hakuna...
  11. Roving Journalist

    Kamati ya bunge maji na mazingira yaridhishwa na utendaji wa mamlaka za maji za Majiji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
  12. Jamii Opportunities

    Civil technician - 30 post at RUWASA August, 2024

    POST CIVIL TECHNICIAN – 30 POST EMPLOYER Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) APPLICATION TIMELINE: 2024-08-10 2024-08-24 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assist in the repair and maintenance of Agency’s buildings and plumbing facilities and systems. ii.To...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  15. Stephano Mgendanyi

    Momba: DG RUWASA Afika Jimbo la Momba Kutatua Kero ya Ukosefu wa Maji Kata ya Ndalambo na Msangano

    MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia 79.7 lakini kwa Jimbo la Momba Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama ni sawa na asilimia 51...
  16. Kurunzi

    Serikali kuchelewa kulipa wakandarasi TANROADS, RUWASA; Je Serikali haina hela?

    Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
  17. Stephano Mgendanyi

    CCM Simiyu Yaridhishwa na Utkelezaji wa Miradi ya RUWASA Inayotekelezwa Ndani ya Mkoa wa Simiyu

    KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maji inayofanywa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani humo ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 huduma ya...
  18. Lady Whistledown

    Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  19. Stephano Mgendanyi

    RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  20. BARD AI

    Tabora: Madiwani wamkataa Meneja RUWASA kwa madai ya kuwa na dharau

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limeazimia kutofanya kazi na Mapambano Mashini ambaye ni kaimu meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini na Vijijini (Ruwasa) wilayani Kaliua kwa madai ya kulidharau baraza hilo. Uamuzi huo umesomwa kwa niaba yao na...
Back
Top Bottom