ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  4. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini, Rais Ruto ametoa amri niuliwe

    Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

    Mtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi. Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Titus Sifuna ashtakiwa kwa kumtusi Rais Ruto mtandaoni

    Mwanaume aitwaye Titus Wekesa Sifuna alifikishwa katika Mahakama ya Milimani siku ya Jumatatu kwa tuhuma za hotuba ya chuki, ambapo upande wa mashtaka uliwasilisha ombi la kumshikilia kwa siku saba ili kutoa nafasi kwa uchunguzi zaidi kufanyika. ====================== A man, Titus Wekesa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Niacheni nifanye kazi, 2027 nikishindwa nitarudi kulima

    Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi hawataridhishwa na utendaji wake. Akizungumza Jumamosi katika ziara yake ya Kaunti ya Nyeri, eneo la...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Ruto avunja kamati ya Utekaji

    Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
  10. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RUTO NA RAILA wasaini mkataba wa makubaliano, kufanya kazi pamoja

    Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya. Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa...
  13. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

    WAKUU habarini za jion Naangalia itv hapa naona habari njema MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awasili Dar kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

    Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP. "Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Sijapeana mkono wowote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi

    Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi." Mgombea huyo wa uenyekiti wa muungano wa mataifa ya Afrika (AU) aliendelea kusema kuwa...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
Back
Top Bottom