rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari huyu aliyeomba rushwa waziwazi bado yupo kazini?

    Wakuu, Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa. Tunao TAKUKURU, wanatumika kama...
  2. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi wa usalama barabarani akiomba rushwa ya 10000 kwa mzungu. Aibu!!!

    Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada. Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao. Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa. Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡 ============ Polisi wala...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavuna ilichowekeza kwenye Rushwa! Wasiokuwa Watanzania walipata NIDA, mtawadhibitije sasa?

    Jambo haramu ni haramu tu Njia ya mwenye dhambi ni tamu machoni pake mwenyewe na mwisho wake ni uangamizi Nchi yangu kwa sasa inapitia wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule Nchi yangu iliwekeza kwenye Rushwa, na sasa inavuna matunda yake NIDA ni kitambulisho cha mtanzania tu ndiye...
  6. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Chama hakitasita kuwachukulia hatua viongozi wa Kiserikali watakaoendekeza rushwa

    Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuwachukulia hatua viongozi watakaokuwa na tamaa za rushwa na itasimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM Uchaguzi...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: CCM imejipanga kuwabana viongozi wa serikali kuhakikisha wanawajibika ipasavyo

    Akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo amewataka wanahabari kufikisha ujumbe kwa watanzania kuwa Chama hicho kimejipanga kikamilifu kuwabana viongozi wote wa serikali...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa US aliyekaa Tanzania anaelezea rushwa ya Tanzania

    Kwa wale mtakao muelewa https://youtu.be/nmHhRISi7nA?si=zet3X4o3liW_3HHo
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi TAKUKURU inavyo bagazwa na kubanangwa. Alitekataa Rushwa akalia kuti kavu

    Viongozi wote wanatokana na CCM. Walitakiwa wazuie Rushwa. Lakini ndio wanatoa Rushwa. Huyu mzee alokataa Rushwa ya Elfu kumi, anapata wakati mgumu
  11. backbenchers

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi za Ardhi Moshi Mjini Zadaiwa Kula Milioni 15 Ili Kufanikisha Uporaji wa Eneo la Umma

    Wakuu habari za leo, Wakati wananchi wengi wakilalamikia upotevu wa maeneo ya wazi, hali inaonekana kuwa mbaya zaidi Moshi mjini. Ofisi za ardhi na ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi mjini zinatajwa kuwa kiini cha rushwa inayohatarisha haki za wananchi. Kuna taarifa na malalamiko mazito...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Katibu wa ACT Wazalendo, Kigoma yadai kuvamiwa usiku. TAKUKURU yasema ilikuwa ni upekuzi kwa tuhuma ya rushwa

    Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa mke wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Takukuru kuwafungulia Mashtaka ya Rushwa Mashahidi na Vyama Vya Mchongo

    Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia. Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinaongoza kwa rushwa duniani

    Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Serikali ya mama haikuwa na matundu ya rushwa

    Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Wa kwanza kupinga rushwa lakini wao ndiyo wala rushwa wakubwa

    Taasisi zote za serikali ni rushwa tu kila kona afu leo mnataka kupinga rushwa wkt ninyi bado mnakula rushwa za mabillioni na uchafu Mnawalipa bodaboda ili wajaze mikutano yenu hii ni rushwa au sio rushwa? Haya mabaiskeli yenu na bodaboda zenu za October tunatiki ni rushwa au sio rushwa...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Zamani wa Kilimo China Ahukumiwa Kifo kwa kuchukua rushwa ya milioni 38

    Tang Renjian, Waziri wa zamani wa Kilimo na Mambo ya Vijijini wa China, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishiwa kwa kosa la kupokea rushwa na mahakama ya mkoa wa Jilin siku ya Jumapili, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, Xinhua. Xinhua imeripoti kuwa Tang alipokea rushwa zenye...
  19. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Rais ana nia ya kufuta rushwa nchini aruhusu turekodi matukio ofisi za serikali

    Kama kweli Rais ana dhamira ya kuondoa Rushwa, uonevu, na aibu za kila aina katika ofisi za umma basi atoe ruhusa maeneo hayo watu kupiga picha na kurekodi sauti na matukio kama tunavyoonaga watu wakirekodi kwa kificho na inakuwa inaisaidia serikali kuwapata wanaofanya hayo matukio.mabaya basi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii ndio mbinu aliyotumia Kagame kudhibiti Rushwa na Ufisadi, basi Tanzania na nchi nyingi Afrika tuna safari ndefu, Sio Rahisi hata kidogo

    Katika video hii, Rais wa Rwanda, Paul Kagame aliulizwa kuhusu namna ya kupambana na rushwa akajibu rushwa haiondoki kwa kusali au kuswali bali kuwa na nia hamuitaki. Hili suala la kutotaka rushwa ni kwa kila mtu hadi viongozi. PIa ametaja kuwa uwajibikaji ni muhimu kwa ngazi zote hadi...
Back
Top Bottom