MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...