rufaa

Rufaa is an ethnic group in Sudan. They speak Sudanese Arabic. The population of this group is at several 100,000. Most persons in this minority are Muslims.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Namtumbo: Bilioni 3.3 Zatumika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma

    JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameamua kugoma kula ili kushinikiza hukumu ya mahakama badala ya kukata rufaa. Madhara ya kutokula au kunywa yatakayompata haya hapa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama mtuhumiwa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

    Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali. Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rufaa za TRA zinatoka lini?

    Wakuu Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu. Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

    Application fee ya dola kadhaa imeenda Na rufaa imechanwachanwa. CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote Je hii ni halali 🚨| COURT OF ARBITRATION FOR SPORT (CAS) UPDATES - Klabu ya Yanga SC...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aibana Serikali Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga yapewa siku 10 kuwasilisha rufaa yao CAS, wasipofanya hivyo wanakuwa wameondoa Kesi yao

    Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai. Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

    Wakuu habari.. Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan. Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test...
  12. Analog

    JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa kifo kwa kesi ya kumuua mama yake kisa elfu 5, aachiwa kwa rufaa

    2015. “Kwa kukosekana kwa saini ya mtu aliyeandika ushahidi huo, haiwezi kusemwa kwa uhakika kwamba kilichomo kwenye rekodi ni maelezo ya kweli ya ushahidi wa shahidi, mwenendo mzima wa kesi uliorekodiwa baada ya usikilizwaji wa awali unavunjwa kwa sababu sio halisi"ameongeza Jaji huyo...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,183 wapangiwa mikopo ya TSh. 13.8 bilioni kwa rufaa

    TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YENYE THAMANI YA TZS 15.5 BILIONI Mfuko wa Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) umetangaza kukamilika kwa upangaji wa mikopo ya wanafunzi waliokata rufaa kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Jumla ya wanafunzi 4,676...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

    Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Serengeti wafunguka walivyofanyiwa, rufaa zagonga mwamba

    Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Moshi: Rufaa zote za CHADEMA zaangukia pua

    Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

    Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
  20. mjusi kafili

    JamiiForums Tanzania Nini natakiwa kufanya baada ya kushinda rufaa ya kufukuzwa kazi na muajiri iliyotolewa naTume ya Utumishi ?

    Habari, naomba kujua cha kufanya Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini. natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Back
Top Bottom