Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.
🔥 KWANINI WATU WANATESEKA NA ROHO ZA MADENI?
Andiko la Msingi:
📖 Mithali 22:7 — “Tajiri humtawala maskini, naye akopaye huwa mtumwa wa akopeshaye.”
1️⃣ Laana au Misingi ya Familia
Wakati mwingine madeni yanakuwa kama mzunguko unaopita kwenye familia. Unaweza kukuta vizazi kadhaa vinaishi...
Wakati huohuo kumekua na migogoro ya mara kwa mara tangu zamani kati ya nchi ya Israel na mataifa ya kiarabu na kiislamu ( Arab-Israel conficts )
Kwanini kwenye mapokeo ya kiislam kuna malaika Israel mtoa roho ?
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka...
Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man).
Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake.
Je nifanye nini hili roho...
Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo.
Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ?
Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili
Maana wanakuaga makatili kwelikweli
Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo
Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga
Fanya research fupi
Kama ukiwa...
Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi?
Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
Nimepita sehemu mbali mbali vijiwen inaonekana watan wagumu.Sana kukubali matokeo na hawana uvumilivu
Kila uliekutana nae anakwambia matokeo ya leo ya.Memuumiza sana moyo
Nikawaonea huruma sana kama hivi tu wameumia.Moyooo wajiandae kutolewa na roho
Derby day...Maana wamehaidiwa kukandwa...
Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo...
Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu
Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa
Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu
29...
Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication)
Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine,
Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .
Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.