roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

    Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake. Je nifanye nini hili roho...
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

    Naam hii ni aina ya roho chafu. Nitajaribu kutoa mifano kidogo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

    Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo. Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ? Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
  4. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

    Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili Maana wanakuaga makatili kwelikweli Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga Fanya research fupi Kama ukiwa...
  5. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakwama kwa sababu vijana wamepotezewa roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu

    Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama leo mmeumia moyo derby mtatolewa na roho kabisa mjiandae

    Nimepita sehemu mbali mbali vijiwen inaonekana watan wagumu.Sana kukubali matokeo na hawana uvumilivu Kila uliekutana nae anakwambia matokeo ya leo ya.Memuumiza sana moyo Nikawaonea huruma sana kama hivi tu wameumia.Moyooo wajiandae kutolewa na roho Derby day...Maana wamehaidiwa kukandwa...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania sijui tulimkosea nini Mungu, kutupa viongozi wenye roho mbaya isiyothamini uhai wa watu?

    Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu 29...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utani wa Waarabu wa kuweka watu roho juu.

  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho ni nini ?

    Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world) Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,, Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  17. m2mixh

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

    *Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  19. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Mbwana Ally Sammata, nimekudharau na sito kuheshimu, una roho mbaya na ni mnafiki we jamaaa, sijapata kuona

    Sina Imani jamaa kama ali kosa usingizi na kuwa na hofu kwa kilicho endelea baada ya internet kuzimwa, Sina Imani kama jamaa WALAU aliwaulizia washikaji wa kitaaa chake na wabongo waliopigana kumshangilia na kusapport kazi zake mpaka kufika hapo. Kuna wale watoto wa academy ya mpira waliopigwa...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Back
Top Bottom