robot

  1. Farolito

    Verify you are not robot!!

    Wakuu, Nini malengo ya website mbalimbali kuuliza swali hilo? na wakati mwingine kukupa task mbalimbali kama kuchagua magari, traffic lights nk. ✅Ina maana wanaogopa marobot yataharibu au vipi? ✅Je robot lenyewe kama ni kweli inataka kuingia humo haliwezi kujibu hilo swali kwamba I'm not...
  2. SankaraBoukaka

    Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  3. DuaZaMama

    Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  4. N

    KERO Mfumo wa Ajira Portal upo kama Roboti, hauwezi ku-synchronize sifa katika qualifications za elimu

    Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine. Kwa mfano 1. Mtu amesoma kuanzia Form 1 hadi 6 masomo ya biashara let say form 1 hadi 4 (business studies) then 5 na 6 (ECA) yaan Economics...
  5. M

    NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  6. Fbn

    Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  7. Deejay eXii

    Tambara: The wild robot(2024)

    ▪️Kura 8.3 IMDb ▪️Kuachiliwa: 2024 ▪️Maudhui: Family/Adventure _________________________ Baada ya Roz kudondoka duniani na kujikuta katikati ya maskani ya viumbe tofauti na vile alivyovizoea, ikawa ni moja ya jukumu lake kujifunza kwa haraka juu ya mazingira na lugha ya wanyama na ndege...
  8. Loading failed

    Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

    Ndugu zangu. Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
  9. Mad Max

    Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
  10. Mad Max

    Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  11. H

    Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  12. Last_Joker

    Teknolojia ya Kesho: Je, Upo Tayari Kuishi na Robot?

    Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na hivi sasa tupo katika kipindi ambacho robot haziko tena kwenye maabara pekee, bali zinaingia kwenye...
  13. TODAYS

    Yule Robot wa Kukuliwaza Kaongezewa Akili, Ukimzingua Akupi Menu Ipasavyo

    Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾‍♂️. Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili...
  14. Fivebrainy

    SI KWELI AI robot aonekana akifanya kazi shambani

    Nimeshangazwa na baadhi ya video ambayo inasambaa WhatsApp na group zingine ikionesha robot akiwa shambani analima kama mtu vile, saa nikajiulza hii ni edit au reality nakosa majibu. Hivo nahitaji mniakikishie kwenye hilo maana kama ni kweli duuh watu watakosa kazi mbeleni for sure. ---...
  15. Mjanja M1

    Ni kweli Watanzania hawajui Robot ni kitu gani?

    Sabasaba mambo yamenoga sana, lakini moja la Ajabu kubwa kutokea ni watu kuamini Matapeli hawa wanaojiita maroboti. Je ni kweli watanzania hawajui Robot ni kitu gani? NCHII HII KILA MTU NI TAPELI
  16. Baba Kisarii

    Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
  17. Melki Wamatukio

    Kama wanateknolojia wa JF wangeungana na wale wa X wangetutengenezea "Humanoid Robot" lenye kueleweka

    Siku ya leo nilikuwa Mawasiliano na mrembo Eunice tukiwa tunapiga story mbili tatu, niishie tu hapa maake niliyoyaona yanafurahisha sana Niseme tu, kama akili ya Eunice itakuwa imetengenezwa na vijana wa kitanzania, sisi kama nchi tutakuwa tumepiga hatua kadhaa kwenye suala zima la teknolojia...
  18. Technophilic Pool

    Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

    Kwenu wataalam wa maroboti.
  19. 100 others

    Yule ni robot au ni ile midoli inakaa nje ya maduka ya nguo.

    Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga. Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli. Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
  20. Lanlady

    Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

    Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi? Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
Back
Top Bottom