risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

    Feminism: Uzaaji wa watoto wachache: Sera ya uhamiaji holela: Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west: Ideology ya Mrengo wa Kushoto:
  2. H

    Watu 23 wa Israel wameuawa kufuatiwa kupigwa risasi na raia wawili wa Palestina

    Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha. Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama...
  3. Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
  4. Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  5. Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  6. Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
  7. S

    Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k. Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona...
  8. Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  9. Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  10. Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

    Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu. Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza...
  11. M

    Kamati yafichua wananchi waliopigwa risasi na kujeruhiwa na muwekezaji

    kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji...
  12. Askari aliyeua kwa risasi raia wanaoandana kwa Amani namwita gaidi

    Wasalaam Askari polisi aliyeenda chuo akasoma akaelewa ukakamavu anawezaje kufyatua risasi ya moto na kumpiga mwandamanaji Mtanzania aliyebeba bango? Askari ameapa kulinda raia na mali zao, Je kuwapiga risasi ya vichwa Watanganyika hawa wa simiyu ni haki? Huyo askari ni gaidi, akamate...
  13. Marekani: Mwanafuzi wa miaka 8 adaiwa kumuua Mwalimu wake kwa risasi mwalimu

    Mtoto wa kike (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ford huko Detroit Michigan, Marekani amedaiwa kumuua mwalimu wake kwa kumpiga risasi. Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner (56) alifariki dunia jana Agosti 12, 2024 baada ya mtoto huyo kumuua kwa kutumia bunduki ya baba yake...
  14. Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  15. L

    Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  16. Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

    Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo?? Source: Sky news.
  17. Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  18. J

    Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani? Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi === Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
  19. Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  20. RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…