ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi na ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2017

    Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo. Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa wa mtu binafsi kujihusisha moja kwa moja kwenye siasa kama mwanachama wa chama au mgombea wa chama...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti: COVID-19 yaathiri utoaji chanjo muhimu kwa watoto

    Takriban Watoto Milioni 25 duniani walishindwa kupatiwa kwa wakati Chanjo muhimu zinazowalinda dhidi ya Magonjwa mbalimbali mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la Watoto Milioni 2 ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020 Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watumiaji wengi wa intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu wa mtandaoni

    Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watu milioni 71 watumbukia katika umasikini ndani ya miezi 3

    Takriban Watu Milioni 71 kutoka Nchi zinazoendelea wametumbukia katika umasikini ndani ya miezi mitatu (Tangu Machi 2022). Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) inasema hali hiyo imetokana na kupanda kwa Bei za Vyakula na Nishati kutokana na Vita inayoendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN: Iran imenyonga zaidi ya watu 100 kati ya Januari – Machi 2022

    Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyowasilishwa Jumanne. Akizungumza mbele ya Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa mjini Geneva...
  6. JamiiForums Tanzania ITV: Ripoti Maalum-Mwandishi wenu ajifunze Kiswahili sanifu

    Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana. Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET. Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Gharama ya intaneti bado changamoto kwa Nchi zinazoendelea

    Intaneti imefungua ulimwengu mpya na fursa ya watu kuboresha Maisha yao kwa namna mbalimbali ikiwemo Biashara, Kuongeza Maarifa, Mawasiliano na Ajira Licha ya Faida zake nyingi, kutumia Intaneti bado ni gharama kubwa kwa Wananchi katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini pamoja na wa Kati...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kamishna Jenerali wa DCEA asema wamekamata Dawa za kulevya kilo 877

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022, imekamata kilo 877.217 za dawa za kulevya, imezuia uingizaji wa kilo 122,047.0855 na lita 85 za kemikali bashirifu nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Gerald Kusaya ametoa takwimu wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Watu milioni mbili duniani wanaishi na Ugonjwa wa Fistula

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume amesema ugonjwa wa fistula ya uzazi bado ni tatizo nchini na kwamba zaidi ya watu milioni mbili duniani wanaishi na ugonjwa huo. Amesema hayo kuelekea Siku ya Fistula Duniania Mei 23, ambapo mbali na idadi hiyo pia kuna visa takribani laki...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Ripoti ya kesi za ukatili kwa watoto, Ubakaji 5,899, mimba 1,677, ulawiti 1,114

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene amesema kesi za ukatili dhidi ya watoto zilizoripotiwa mwaka 2021 jumla ni 11,499. Waziri Simbachawene amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonesha kuwa kuanzia Januari hadi Desemba, 2021 kulikuwa na idadi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti zinadai Wafanyakazi wengi wanatishwa kazini Tanzania

    Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya binadamu. Aidha, neno kazi linatokana na Kilatini utatu, ambapo kwa wakati huo kulikuwa na kwa zamu ya safari tatu...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  20. JamiiForums Tanzania Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…