ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia hapa Kafeli kabla ya kuanza.. Eti tume imchunguze halafu impe ripoti🤣

    Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole. Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye. Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kenya yalipa Takriban Shilingi Bilioni 8 kwa Mikopo isiyotumika, Mdhibiti Mkuu wa Hesabu aibua wasiwasi

    Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, na Mdhibiti wa Bajeti, Margaret Nyakang'o. Ada hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    https://vt.tiktok.com/ZS4J6KuBH/ Soon veri soon....
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti: Akili Unde (AI) yachochea ongezeko la ukatili mtandaoni dhidi ya Wanawake Duniani

    Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Hofu Yatumiwa Kunyamazisha Wananchi

    Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu nguvu ya msingi ya kidemokrasia ya taifa, ni kuua sauti ya wengi ili kutawala kwa nguvu za wachache...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya Wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwachochea wananchi kushiriki vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Amani na Maridhiano

    Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia. #TumeImesikilizaWananchi #TumeYaUchunguziReport Ripoti Ya Maridhiano
  9. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sisi tulitegemea ripoti iwekwe hadharani ili tuweze kuona kilichoandikwa na si kusemwa ni ya Rais

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume. Hivyo alitegemea baada ya tume kuweka ripoti hadharani ingebaki kuwa wazi na kusomwa na watu wote...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ripoti ya Chande ni kituko! Aibu kwa Samia

    Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa. Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naona sasa amekuwa normalized na Ripoti yake au visits by fellow dictators. Sauti sasa inatoka kama hana hatia ya 29th October, 2025!

    Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th. Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc! Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji? Time will tell!
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti wa Jaji Chande Mei

    CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MwanaHALISI: Pamoja na Ripoti ya Tume kutoka, ICC Haikwepeki

  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

    Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe. Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Njia ya Tanzania Yenye Haki na Amani

    Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa kudumu. #UwajibikajiWaHaki #TumeYaUchunguziReport Haki Na Amani
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi aibua hoja nzito: Maridhiano hayajengwi kwa ripoti ya siri ya Rais

    Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya. Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…