ripoti ya tume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kesho si siku ya kawaida: Ripoti ya Jaji Chande yabisha hodi. Joto limezidi kupanda

    Kesho, tarehe 23 Aprili 2025, si tarehe ya kupita kimya kimya kwenye kalenda ya taifa—ni siku ya maamuzi, siku ya ukweli, na huenda ikawa siku ya kutikisa mizizi ya siasa za nchi yetu. Ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande hatimaye inawekwa hadharani, na tayari upepo wake...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya October 29 inatakiwa kutoka leo

    Tume hii ilianzishwa na Samia November 18, 2025 na aliipa miezi mitatu Miezi 3 imetamatika Leo Au ripoti anapewa Samuya haifiki Kwa jamii
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo Ila Nina maswali najiuliza 1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anakula na waokoaji lakini ripoti ya kuporomoka jengo la Kariakoo iko wapi? Ni kama ripoti ya kuungua soko la Kariakoo

    Wakuu, Kuna namna viongozi wetu wanatuchukulia sisi ni wasahaulifu au hatutilii maanani yale maneno ambayo wanayasema. Wanatuchukuliaje? Baada ya jengo la kariakoo kuanguka tuliambiwa kuna tume inaundwa chini ya usimamizi wa Majaliwa ili kujua kinagaubaga cha jengo hilo kuporomoka, lakini...
Back
Top Bottom