riba

  1. JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank imekaaje? hii riba ni sawa?

    Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii...
  3. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  4. JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  5. L

    JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2026/2027 mkopo trillion 15 na riba italipwa trillion 6 na deni litapunguzwa trillion 7 hujajumlisha trillion 114, tutoe maoni yetu hapa

    KWA LEO TUANGAZIE BAJETI YA NCHI KWA UPANDE WA MADENI 2026/2027 Pamoja na changamoto lukuki zilizopo kwenye nchi yetu tutoe maoni yetu kuhusu Hili haya madeni yanaonyesha kuongezeka bila kupungua Hizi ni Kodi zetu tuna haki ya kutoa maoni na pengine kushauri Nini kifanyike kuiweka nchi rehani...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana Ruvuma wapata mkopo wa bajaji bila riba

    13/05/2026 Vijana Mkoani Ruvuma katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepata mkopo wa Bajaji bila riba. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amewakabidhi rasmi kwa niaba ya Serikali ya awamu ya Sita chini Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  9. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  11. H

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  13. JamiiForums Tanzania Baba Levo masharti ya mikopo naongezea na riba

    Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa fedha, Mhandisi Mshambu: Taasisi za fedha kuweka kiwango maalum ya riba kwa wafanyakazi itakinzana na sera za soko

    Naibu waziri wa wizara ya fedha, Mhandisi Mshambu Munde amejibu swali la Mbunge wa Kigamboni Haran Nyakisa Sanga kuhusu Je, lini wafanyakazi wa Tanzania watapunguziwa riba za mkopo kufikia aslimia 7 au 8?
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  17. JamiiForums Tanzania Unapotumia imani kwenye Benki kusema hakuna Riba, unaendeshaje hiyo benki?

    Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu. Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja. Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
  18. JamiiForums Tanzania Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiby kutoa mikopo ya Pikipiki isiyokuwa na riba huko Gairo

    Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo. Shabiby...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB riba sio rafiki

    Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za kibanki ( kuuza mkopo) na hata ukiitaji kufanya kimoja kati ya hivyo vitatu hapo juu imekua ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…