riba

  1. idiomer

    Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  2. H

    KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  3. S

    Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  4. idiomer

    Baba Levo masharti ya mikopo naongezea na riba

    Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI. PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
  5. Yoda

    Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  6. R

    Naibu waziri wa fedha, Mhandisi Mshambu: Taasisi za fedha kuweka kiwango maalum ya riba kwa wafanyakazi itakinzana na sera za soko

    Naibu waziri wa wizara ya fedha, Mhandisi Mshambu Munde amejibu swali la Mbunge wa Kigamboni Haran Nyakisa Sanga kuhusu Je, lini wafanyakazi wa Tanzania watapunguziwa riba za mkopo kufikia aslimia 7 au 8?
  7. Fbn

    Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  8. Fbn

    Unapotumia imani kwenye Benki kusema hakuna Riba, unaendeshaje hiyo benki?

    Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu. Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja. Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
  9. Ze Heby

    Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Shabiby kutoa mikopo ya Pikipiki isiyokuwa na riba huko Gairo

    Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo. Shabiby...
  11. A

    KERO NMB riba sio rafiki

    Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za kibanki ( kuuza mkopo) na hata ukiitaji kufanya kimoja kati ya hivyo vitatu hapo juu imekua ngumu...
  12. The Supreme Conqueror

    Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  13. Dr. Zaganza

    Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  14. M

    Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  15. Masalu Jacob

    Vijana Village Funds: Mikopo isiyo na riba lengo kuishi vijijini na kufanya uzalishaji

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo...
  16. MamaSamia2025

    Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

    Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
  17. Dennis Robert Shughuru

    Mfanyabiashara atakuwa eligible kwa mkopo wa riba nafuu sana kama mfanyakazi/Wafanyakazi wake atawalipa mshahara kupitia bank

    Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
  18. Z

    Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  19. Mkoba wa Mama

    Kwanini wajasiriamali wanapewa mikopo isiyo na riba, lakini wanafunzi wabebeshwa mizigo ya madeni?

    Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
  20. JF Member

    Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
Back
Top Bottom