A report is a document that presents information in an organized format for a specific audience and purpose. Although summaries of reports may be delivered orally, complete reports are almost always in the form of written documents.
Dunianyote imelalamika kuwa ripoti hiyo haiwezi kuwa independent, neutral and credible. Essence ya investigative ripoti ni kupata ukweli, ukweli usio na mashaka. Sasa consumers wanasema kitakachoandikwa hapo hatutakikubali kwa sabahu hakiko independent. Iko biased, corrupted at the onset and you...
Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu.
Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia.
Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo.
Inasikitisha kuona nchi...
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na...
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina...
Haijaisha mpaka iishe.
Tunaanza walipoishia wao.
Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo.
Promo zao zimewaponza, tunaanza walipoishia wao, wasifikiri vita imeisha ,ngoma bado mbichi sana...
Technical Report: Large-Scale Display Systems for Exhibitions and Church Services
Executive Summary
Large-scale display systems used in outdoor exhibitions and church services primarily utilize modular LED video wall technology rather than traditional "foldable" screens. These systems consist of...
Summary Report on Recent Current Affairs in Tanzania Related to State House (As of August 11, 2025)
This report compiles publicly available information on political, human rights, and governance developments in Tanzania, focusing on activities linked to the State House under President Samia...
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1...
https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw
Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100%
Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
Wakuu habari.. naomba msaada wa hatua za kufuata ili nipate taarifa ya mgonjwa wangu pale muhimbili hospitali. Kiufupi nielekezwe kiujumla
#AHSANTENI SANAA
Introduction
The release of the 2023/2024 report by the Controller and Auditor General (CAG) has once again shaken the confidence of Tanzanian taxpayers. As has been the trend in previous years, the findings have laid bare disturbing levels of financial mismanagement, misappropriation, and...
Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
Solar capacity additions to accelerate with 85-90 GW projected for FY26-27: Report
New Delhi: Solar capacity additions in India will accelerate in the Financial Ye ..
Read more at:
Solar capacity additions to accelerate with 85-90 GW projected for FY26-27: Report - ET EnergyWorld
Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri alifanyaje akafanikiwa. Asanteni
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu.
Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s removal.
The unnamed source told the state-funded Israeli Army Radio that “more than 250 military targets...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.