Huko twittani nimekuwa nakumbana na post mbalimbali za Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Inaonyesha wanaongeza kasi ya kuonekana katika mitandao. Nawapongeza kwa hilo.
Tatizo moja ninaloliona ni kuwa kila mara nikiziona post zao, mara moja nadhania ni habari kutoka Mamlaka ya Mapato, TRA...