Ukiangalia kipindi cha uchaguzi wenzetu yani mtaka uraisi anakuwa na hoja ya kujenga kushindana na wanaotaka uraisi.
Ila hapa kwetu ni kama kazo hii ni makala,wasira,nchimbi na chawa pro max.
Sawa tunajua ni raisi ila niliotaja sijawai kujua hoja zao zaidi ya kusikia makala anasema chadema...
Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake.
Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa.
Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska.
Mambo yao...
Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria.
Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
bunge
jeshi
jeshi la wananchi
jinsi
kuchukua
kufanya
kufanya maamuzi
maamuzi
mfumo
mfumo wa utawala
mtoto
mtoto wa
muda
nafasi
raisi
tunahitaji
udhaifu
utawala
wananchi
wazi
Huu ni ukweli ulio wazi,
Leo kama Lissu ndiye angekuwa ni Rais wa nchi na kuwa chini ya sheria mbovu za uchaguzi zilizopo sasa, nina uhakika, wana ccm wakiongozwa na Samia ambaye ndiye Rais wetu, wangeingia barabarani kupinga sheria hizi mbovu pamoja na tume inayoundwa na Rais zinazokibeba...
Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka .
Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki.
Kati ya habari between...
Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya.
Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli
Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
Raisi wa Finland Mwezi huu atavisit nchi kafhaa za Africa ikiwemo Tanzania, sasa tunataka afikiria mara mbili mbili kujusu kuvisi Tanzania make nchi isha haribika imekuwa nchi ya kuuana na kuumizana.
Hivyo wadau tuendelee kutuma email kwa offisi ya Raisi wa Finland na kumuandikia yeye mwenyewe...
Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu...
Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
Hapa ndipo watanzania tumefika
Mahubiri ya haki si kwa mtanzania mmoja, bali kwa kila mtanzania, hii mihimili mitatu hii inayoendeshwa na mtu mmoja madhara yake ni makubwa sana
===
Mmiliki wa Kampuni ya Ruhama 333, Mhandisi Owden Mwalyambi amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan kumuomba msaada...
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ?
Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ?
Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Tukisema nchi hii inapoelekea mpaka Mr pimbi naye anaitisha vyombo vya habari kuongea upimbi wake.
Wale tunaowakodisha kusimamia harusi na kucheza kwenye harusi ili limetokea huko naijeria yule aliyekuwa mnunua simu za wizi kinondoni na kuwa msanii na kutoboa kimaisha baada ya ruge kufa...
Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii.
Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata.
Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu.
Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.