Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema...