raisi

  1. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  3. goldcall

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mjue Nayb Bukele aka "Mkono wa Chuma" Rais wa El Salvador

    Ana umri wa miaka 41. Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America. Ni raisi machachari kwelikweli. Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba...
  5. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Kagame ndio rais mbabe Afrika?

    Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  7. S

    JamiiForums Tanzania Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

    Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana. Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
  8. DeepPond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

    Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali. "Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
  9. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ilivyo, Bunge lijalo Naliona kama litakuwa na vurugu nyingi hiv.Maana raisi ameshapitishwa tayari

    Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona mpina peke yake ndiyo akiwa anasimamia shoo sababu hana cha kupoteza. We unaona nini?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

    Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

    Salaam wakuu, Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana. Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala. Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  16. snipa

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  17. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

    Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza?
  18. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya kuofanya haya

    Raisi Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya ubinafsi. Yeye ndiyo angetakiwa kuwa wa kwanza kukemea chaguzi mbovu badala yake yeye anajali Ikulu aliyo jengewa, mke wake mbunge na mtoto. Yaani tumebaki na Warioba, Jenerali Ulimwengu na Mzee Butiku pekee. Kikwete angesaidia sana hii...
Back
Top Bottom