raisi

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba alilia sana kwenye msiba wa Raisi Magufuli

    Mlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais Magufuli. Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha Magufuli sema anahofia uhai wake. Kwenye picha huyo wa kushoto alievalia suti.
  2. Muhsin Snr

    JamiiForums Tanzania RAISI Trump alikosolewa na federal reserve hadharani(mkuu wa benki kuu ya USA)

    Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video... Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA WAZI KUWA HAWA WATU NDIO WANAISHI DUNIANI
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amin nawaambieni, ikiwa Samia ataendelea kuwa na Wanamtandao na akashinda Uraisi, raisi wa Tanzania ajae baada ya Samia atakuwa Rizi One

    Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
  4. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Raisi kama Traore wa Burkinafaso sio madikiteta

    https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais Rutto wa Kenya kuhusu mauaji ya Gen Z huko Kenya. Aliiungwa mkono na Cyril Ramaphosa wa A. Kusini...
  5. Afcon 2027

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa raisi wa wanavyuo(TAHLISO) ni lini

    Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi? Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

    Habari ndo hiyo.. Yule msomalia kashinda tena
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Huyu alie ombea mtungi wa gesi ukajaa gesi na wakazi wa chamwino walio changia raisi 250k achukue form nani ni msani zaidi

    Kuishi Tanzania ni raha sana vichekesho haviishi loh.
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Nchimbi kuwa raisi hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ?

    Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini. Tafakari,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

    Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
  14. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  18. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Ellen Degeneres: naenda kuishi uingereza sababu ni Donald Trump

    Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya raisi Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa raisi. Mtangazaji huyo ameiambia hadhira huko Cheltenham...
  19. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

    Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole. Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana . Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
Back
Top Bottom