rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Nuru ya Taifa iangazayo na kuleta Matumaini kwa mamilioni ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,anaweza wafanya watu kuona leo ni afadhali ya jana...
  4. blogger

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

    Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
  5. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ikimpendeza Rais Samia amuhamishie RC Makonda Mwanza

    Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

    17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Naibu Rais na Makamu wa Rais?

    Salamu, Kuna Misamiati hii ya Vyeo vya Kisiasa Makamu wa Rais na Naibu Rais .Je Nini tofauti yake?
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
Back
Top Bottom