rais

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwenye kujawa na ustahimilivu

    Wakati wote Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimama imara katika falsafa yake ya uongozi ya 4R kwa kuitekeleza kwa vitendo. Ameendelea kuwa mwenye ustahimilivu hata pale anapotolewa maneno machafu dhidi yake, amekuwa akitumia hekima na busara ...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Katambi ampongeza rais samia kutoa fedha za kuwezesha usimikaji wa mfumo cma

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya kuwezesha usimikaji wa Mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa mashauri kwa njia ya mtandao. Mhe...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  4. nyachina

    JamiiForums Tanzania RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

    Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000. Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Madhaifu yake, Rais Samia kakomaa Kidoplomasia ya Kinataifa kuliko Magufuli.

    Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger. Ushindi wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha kwa kishindoo Arusha Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni hypothetical scenario, lakini kwa KATIBA hii rais anaweza kufanya na ikawa imekwisha!

    Kwa katiba yetu ilivyo, Rais anaweza kusema kuwa kuanzia leo Tanga, Dar, Pwani ni sehemu ya Zanzibar kama alivyoamua kuwa ngorngoro ni sehemu ya wazi! TUPAMBANIE KATIBA MPYA
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki uzinduzi kampeni za Odinga uenys

    Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi watakaoshiriki uzinduzi wa kampeni za uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), unaowaniwa na Raila Odinga. Ushiriki wa Rais Samia katika kampeni hiyo ni baada ya kualikwa na Rais wa Kenya, William Ruto kwenda katika taifa hilo kwa...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gen Z Kenya na mkutano na rais

    Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha malalamiko yao Tanzania. Kwanza niseme ni privilege ya hali ya juu kuwa na nafasi ya kusikia UKALI WA...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

    Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda. Najua wale wa PSU mpo sana hapa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Haya maneno magumu kutoka kwa aliyewahi kuwa Rais wa Ufaransa ni ya kibaguzi?

    Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007 Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya, "The tragedy of Africa is that...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Rais Samia aheshimiwe, kumtusi ni kumkosea sana.

    Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza. Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia:Tamasha La Kizimkazi Litambulike Rasmi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
Back
Top Bottom