Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua...
MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA
Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir.
Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi...
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa ya kisiasa kumnanga na kumshambulia. Zaidi wamebaki kufanya siasa za kibaguzi kwa kushambulia asili...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi.
Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa kichwa cha "In her hands".
Huu wimbo nimeuandika kwa lugha ya Kiingereza.
nimekuja humu kutoa taarifa...
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali...
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa .
Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani?
Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura.
Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
Wanabodi,
Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaofanyika nchini.
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
===
Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
Wanabodi
Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!.
Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
Wakuu,
Tanzania imeendelea kung'ara kwenye utalii katika ngazi ya kimataifa na hii ni baada ya kuibuka kidedea kwa mara nyingine tena kwenye tuzo za World’s Leading Safari Destination
=============================================================
Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania...
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa
kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo.
Utendaji wa...