rais

  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

    Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
  2. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

    FRELIMO wamebaka uchaguzi na Daniel Chapo sasa yupo Ikulu. Viva FRELIMO vivaaa
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  4. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakulima 2000 Kiteto wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa Ardhi (Hifadhi ya Makame)

    Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15. Chanzo: EATV
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tuongoze mpaka mwaka 2045 Mimi kama msemaji wa wananchi nakuomba

    Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045 Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu. Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga. Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  14. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Lebanon anasema magaidi wa hezbollah hawana nafasi katika nchi hio

    Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vituko vya dini Afrika: Kenya na Tume maalum ya Rais kuchunguza waabudu shetani(Devil worship) mwaka 1994!

    Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka serikali haikuiweka hadharani rasmi na iliipotezea bila kutekeleza mapendekezo yake mbalimbali kwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

    Mnaojua kutafsiri ndoto, hii ndoto ina maana gani?.
  19. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
Back
Top Bottom