Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025.
Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha.
Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri.
Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!
Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda...
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,
Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.
Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana...
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino...
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫
1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni.
2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫
1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.
Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.
Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.