rais

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais juu ya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa/Wilaya, Wakurugenzi /DED

    MH. RAIS , Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) . Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa CCM kwa Rais Samia ndio nyenzo ya kusimama imara kwenye Urais

    Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na mbele katika kupingana na muelekeo na mtazamo wa Mhe. Rais na yote inatokana na kuona wapo kwenye...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

    Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, anza na Dkt. Abassi ameonesha dharau na kiburi kwako

    Watanzania wamesikia kauli yako ya kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe ila vifuate sheria Kama Mkuu wa Nchi na Kama Mama umeona utoe huo msamaha tuanze upya lakini ukasisitiza vifuate Sheria. Lakini huko kwenye vyombo vya habari kuna ajira nyingi zilipotea na kusimama, amri...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kuna jambo nilikuwa nasolve limenishinda nguvu nikaliacha

    Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo. Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

    Tukubali kwamba wapo watu katika Hali yakibinadamu wamedhalilika kutokana na namna walivyohudumu awamu ya tano na wanavyopaswa kuhudumu awamu ya sita. Watu hawa walijitwalia utukufu na heshima bandia kwa kinga iliyowekwa na awamu iliyopita ila sasa hivi kinga na heshima vimeondoka. Kwa muktadha...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan tusaidie kutengua kitendawili cha wasiojulikana

    Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana. Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana. Katika hiyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mpendwa Mama Samia ameshaonyesha Kutupenda Watanzania, hivyo na Sisi tumuonyeshe Upendo Wetu Kwake kwa Kumfanyia yafuatayo...

    1. KUFANYA KAZI KWA BIDII Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama Rais Samia. 2. TUPENDE SANA KULIPA KODI Watanzania tusijidanganye na tusidanganywe hakuna nchi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Namuona Rais Samia Suluhu Hassan akienda kunyakua tuzo ya Mo Ibrahim. Labda wana CCM wamkwamishe!

    Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya! Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa. Hafokei Haropoki Yupo very composed Hana papara Anafahamu shida za watanzania ki uhalisia Mpole kama...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania sasa kushirikiana na dunia kupambana na Covid -19

    6 April 2021 Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama inapatikana. Pia akaongeza Tanzania itaanza kutoa takwimu za walioambukizwa na waliopona Covid -19...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha umahili wake kwA kumteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi. Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais akiliweka suala la wawekezaji kama 'fungulia mbwa', sijui nini kitatokea

    Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtu aliyejipambanua kwa nia ya dhati akihimiza kwa vitendo juu ya miradi ya kimkakati. HAKUNA...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  18. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abassi: Agizo la Rais Samia kufungulia vyombo vya habari linahusu televisheni za mitandaoni pekee

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. --- Huyu ni kichwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa anachosema Rais Samia kitaeleweka na wafanyakazi wa serikali, uchumi wa hii nchi uta rebound ndani ya mda mfupi sana.

    Hii ni hotuba kama ya nne ya Rais Samia, na mpaka sasa nilichokichunguza ni kwamba, huyu ni Rais ambaye anajipambanua kuwa na itikadi za kiuchumi za 'Free markets' ambazo ndizo haswa zinazofanya kazi kwenye ulimwengu wa sasa. Kote huko duniani unapoona uchumi umeendelea mpaka huko China na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…