rais

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

    Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
  3. JamiiForums Tanzania Amri ya Rais yapuuzwa waziwazi bila aibu

    Habari watanzania wenzangu? Kwa wale wa Dar es salaam,poleni na hali ya hewa hii ya baridi na mvua za mara kwa mara. Ni takribani wiki mbili kama sikosei toka Rais wa Jamhuri ya Muungano alipotoa agizo kuwa gharama za vifurushi zishuke na zirudi kama ilivyokuwa awali,cha ajabu mitandao ya simu...
  4. JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais Samia Suluhu Hassan ni upi kwa mawaziri

    Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaosisitiza Rais Samia atakuwa 'one term President' mlisikia wapi kuwa anataka kipindi cha pili?

    Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
  6. JamiiForums Tanzania Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

    Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9. Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo. Faida zake ni nyingi mno kulingana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Umma; Mama Samia Rais wetu vinusuru Vyuo hivi

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi Mitaala ya Vyuo Vikuu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais mwenye Maono, Msimamo, Uzalendo na Uchapakazi. Asiwe lelemama

    Kwa kiwango cha unafiki tulicho nacho Watanzania. Rais lelemama hawezi ifanikisha Tanzania hii iliyojawa na watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Tanzania ambayo imejaa WANAFIKI WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, WANAFIKI WA HADHI YA NYOTA 5. Si ajabu sasa wanaanza kupanga na kujipanga kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

    Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi. Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

    Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini. 1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu. 2. Manyanyaso ya wananchi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. "Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

    Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa What does this mean? Mama...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

    Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kuchunguzwa kutokana na jinsi anavyopambana na corona

    Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama. Uchunguzi huo utahusisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhoji kwanini ' tunaojitambua ' vyema Vichwani tumempenda Rais Samia majibu yao yapo katika hii Nukuu yake...

    " Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa, Ajira nyingi Kutoweka, Mzunguko wa Pesa kuwa Mgumu kupelekea Kilio cha kila Siku kwa Wananchi kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi wa umma na utawala bora. Hoja yangu kwa kirefu kidogo: napendekeza uanzishe Shindano La Ubunifu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…