Habari wakuu,
Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.
Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
#Siku100zaSamia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo
THURSDAY JUNE 24 2021
Summary
Rais Samia Suluhu Hassan anaelekea kutimiza siku 100 tangu kuapishwa kushika wadhifa huo Machi 19, mwaka huu, baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Magufuli.
Rais Samia Suluhu Hassan anaelekea kutimiza...
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.
Majibu ya naibu waziri...
Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa.
Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma.
Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys!
Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down.
Nina wasiwasi...
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi.
Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani.
1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
Kuna kila sababu ya mheshimiwa rais wa JMT ashauriwe avunje bunge kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kuna sababu kuntu mojawapo ni hizi:
1. Wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wanadai mishahara yao iongezwe ili hali wakijua uchumi wa nchi ni tete:
Deni la taifa liko juu
Miradi ya nchi ni...
BAVICHA wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara wa Chama Chao hautokani na madhaifu ya CCM bali unatokana na Sera dhabiti zenye kuunganisha makundi...
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
Waziri wa Fedha na Mipango mnachokifanya hivi sasa ni kama vile mna shida sana ya pesa na mmeishiwa ubunifu na sasa mnataka kutuvika Mizigo ya madeni na matatizo ya Serikali kwa gharama yeyote ile.
1. Mmetuongezea kodi ya katika mawasiliano ya simu kwa vocha na vifurushi wakati tunalipa VAT...
Jana Jumatatu tarehe 21 June,2021 Makamu wa Rais Mh. Dkt Mpango aliitembelea Bohari ya Dawa MSD ili kujua utendaji wa hiyo Bohari ambayo ni kiungo muhimu sana katika sector ya afya kwasababu MSD inashughulika na mambo makuu 3 kutokana na uanzishwaji wake na sheria ya bunge na. 13 ya mwaka 1993...
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia
Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema...
Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija.
Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara...
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!
Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.
BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote...
Nakusalimu kwa jina la JMT
Jana mheshimiwa rais ulitoa mkeka wa ma-DC.Pongezi kwa waliobahatika kwenye huo mkeka.
Kwa upande wetu sisi maskini,Mikeka yetu ni ya aina nne zifuatazo:
1.Ualimu
2.Polisi
3.Afya
4.Kilimo na mifugo.
Tafadhali tunakuomba usiipuuze.
Tukumbuke, Tukumbuke, Tukumbuke.
Waziri mkuu wa Israel anasema kwamba jamii ya kimataifa inafaa kuamka kufuatia uchaguzi wa rais mpya wa Iran.
Naftali Bennet amesema kwamba utawala wa Iran umekuwa ukitaka silaha za kinyuklia - kitu ambacho Iran inakana.
Ebrahim Raisi alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Iran siku...
Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo:
Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa uwe na Per capita income ambayo ni dola za kimarekani $1036 hadi $4045.
Kwa uchumi wa kati mkubwa...