rais

  1. M

    Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

    Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale! Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo. Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa...
  2. K

    Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  3. Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  4. Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  5. P

    Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  6. T

    Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  7. S

    Waraka kwa Rais Samia Suluhu Hassan: Kilio cha wafanyakazi kwenye hifadhi ya jamii

    Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi yetu, nachukua nafasi hii kukupongeza sit u kwa kuwa Rais wa nchi yetu lakini kwa namna ambavyo...
  8. Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu

    Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu
  9. K

    Rais Samia, hongera kwa uenyekiti CCM. Tafadhali funga mipaka na India

    Nafahamu Rais wetu uko busy Dodoma na masuala ya kichama. Hongera kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Sitaki kuingia sana huko na sina maneno mengi kuhusu siasa. Nakuomba ufunge mipaka kati ya Tanzania na India kwa muda hadi pale hali ya corona itakapotulia kule kwa wenzetu. Wanatia...
  10. M

    Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake. Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
  11. CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  12. Sehemu ya kwanza: Nikiwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania

    Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora wa maisha ya ndoto za waliowengi. 1. Viwanda Tutaanzisha viwanda vipya vidogo vyenye tija na...
  13. Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

    “Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Tayari Samia...
  14. Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
  15. Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  16. Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  17. U

    Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma. Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma. Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
  18. Kwanini Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi hapandi ndege za Serikali?

    Kwenye safari zake zote za kwende dar ama dodoma amekuwa akipanda ndege za flightlink badala ya ndege za serikali ni kwanini?
  19. Hali ya kisiasa nchini Somalia yapelekea Rais kutoa rai ya kufanyika Uchaguzi wiki kadhaa baada ya Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani

    Rais Mohamed Abdullahi Farmajo ametoa rai ya kufanyika Uchaguzi baada ya kitendo cha Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani kusababisha sintofahamu Nchini humo. Kumekuwa na shinikizo la Jumuiya za Kimataifa ambazo zilitishia vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais kuongezewa muda. Wananchi...
  20. P

    Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…