Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktoba
oktoba 29
raisrais samia
samia
samia suluhu hassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisi za kiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake
Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police,
Vyombo vya...
https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI
Pia soma:
~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025
~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.
Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,
Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?
Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais.
It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
Wakuu,
Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100.
Soma GE2025 - Ahadi za...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashiru
bashiru ally
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashiru ally
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
raisrais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar amesema yuko tayari kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya kazi na upande wa upinzani.
Mwinyi ametoa matamshi hayo wakati wa hotuba yake ya kulifungua Baraza la Wawakilishi linaloanza kazi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu.
Chama kikuu cha upinzani...
Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa.
Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo.
Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a kilichotokea!
Usimamizi ni kwenye rasilimali za Taifa je?
Naamini tunaelekea kuipata katiba ya haki na...
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
matukio
muhimu
muhtasari
muungano
raisrais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
wiki
Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe unaweza kuwa rais kinyume cha kuchaguliwa na wananchi.
Kitendo kilichofanyika ni kujitangaza kuwa ni rais...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...