rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  2. JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

    " Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

    Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi . Mh Rais alitoa kauli hii...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani atetea kiti chake katika uchaguzi, anaendeleza muhula wa pili

    Picha: Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steimeier Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier amechaguliwa tena kutumikia muhula wa pili wa miaka mitano. Rais huyo maarufu amechaguliwa kwenye mkutano maalum wa wabunge 736 na wawakilishi wa majimbo 16 ya Ujerumani uliofanyika jana Jumapili mjini...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  11. JamiiForums Tanzania Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Ulaya, Lissu na Lema mlituambia Tanzania imetengwa?

    Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chamwino msaidie Rais miradi ya ujenzi ya shule wilaya ya Chamwino

    Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
  14. JamiiForums Tanzania Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

    Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
  15. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  16. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

    Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri. Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
  19. JamiiForums Tanzania MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

    Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa. Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
  20. JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…