rais

  1. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Samia, Rais huwa hakosei na hivyo hakuna pahali Hayati Magufuli alikosea kama Rais

    Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI. Muktadha wangu ni upi hapa; Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao jaribu kumhusianisha na makosa yeyote Hayati Magufuli kwa sababu Samia alishasema Rais huwa hakosei...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani asalimia hewa tupu

    Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake. Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  5. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Kwema Wakuu! Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini. Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo matatu (03) ziara ya Rais Samia Marekani.

  9. JamiiForums Tanzania Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza. Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha! Hali hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
  19. JamiiForums Tanzania Rais awe na utaratibu wa kutoa tuzo/medals

    Hello JF Leo nimeona ni jambo jema kwa Rais wetu kutoa/medal kwa watu wanaoenda extra mile kuigusa/hudumia jamii... Criteria ..awe nayo yeye mwenyewe... Nimesukumwa kuandika mada hii baada ya kusoma habari hii ya Mganga wa Kienyeji kujenga madarasa mawili huko Simiyu>>>>>>>> madarasa mawili...
  20. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

    Tulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano. Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete. Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kubwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete. Sasa alipopata Urais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…